Ni Toshiba laptop Satelite Niliitumia fresh kwa muda wa lisaa limoja ikaisha charge ikazima nilipojaribu kuiwasha tena inatoa mwanga kidogo kwenye screen halafu inazima.nimejaribu kuhold F8 cjafanikiwa

Mkuu booting inaweza kuwa Escape au F8 na F9 pia, Fanya ivi chomoa battery afu itoe kwenye power afu hold iyo button ya kuwsha ku utilize moto baada ya muda rudisha battery power on na boot