Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,409
Poapoa mkuu!0779784050 nitumie picha nione ilivyo fanya
Ushauri mzuri, ndiyo maana una ID ya jina la shule niliyosoma enzi hizo,mkuu hio ni update ya meltdown na spectre, intel wameonya kwamba watu wasi update kwanza.
rollback kwenye version ya zamani kwa kutumia system restore kama uliwahi au pc iliwahi kutengeneza hio point.
kwa option zaidi utazipata kwenye recovery au safe mode angalia hizi njia kuingia
7 ways to boot into Safe Mode in Windows 10 | Digital Citizen
Mkuu nashukuru sana,nimefuata hizo procedure hapo kwenye hiyo link na nimefanikiwa kurecover and finally my pc is alive again!!mkuu hio ni update ya meltdown na spectre, intel wameonya kwamba watu wasi update kwanza.
rollback kwenye version ya zamani kwa kutumia system restore kama uliwahi au pc iliwahi kutengeneza hio point.
kwa option zaidi utazipata kwenye recovery au safe mode angalia hizi njia kuingia
7 ways to boot into Safe Mode in Windows 10 | Digital Citizen
Mtumie mkwawa ya kubrush viatu...lolMkuu nashukuru sana,nimefuata hizo procedure hapo kwenye hiyo link na nimefanikiwa kurecover and finally my pc is alive again!!
Mtumie mkwawa ya kubrush viatu...lol
Mkuu naomba nielekeze namna ya kujitoa kwenye huu mfumo wa window 10 insider preview!!mkuu hio ni update ya meltdown na spectre, intel wameonya kwamba watu wasi update kwanza.
rollback kwenye version ya zamani kwa kutumia system restore kama uliwahi au pc iliwahi kutengeneza hio point.
kwa option zaidi utazipata kwenye recovery au safe mode angalia hizi njia kuingia
7 ways to boot into Safe Mode in Windows 10 | Digital Citizen
nenda setting kisha click updates kisha insider halafu jitoeMkuu naomba nielekeze namna ya kujitoa kwenye huu mfumo wa window 10 insider preview!!
Mkuu hakuna option ya kujitoa bali kuna options za kukatisha tamaa tu mara roll back to the first version of window 10,sijui pause for seven day only mara remove window 10!!nenda setting kisha click updates kisha insider halafu jitoe
hakuna kitu kama hiki?Mkuu hakuna option ya kujitoa bali kuna options za kukatisha tamaa tu mara roll back to the first version of window 10,sijui pause for seven day only mara remove window 10!!
Ukiclick hapo (stop insider preview build)ndo zinakuja hizo option za ajabu sasa!!hakuna kitu kama hiki?
sasa hivi upo insider hivyo kutoka ni lazima urudi windows 10 ya kawaida. katika hizo option moja wapo ni ya kukurudisha kwenye windows 10 unatakiwa uclick hio.Ukiclick hapo (stop insider preview build)ndo zinakuja hizo option za ajabu sasa!!
basi ya kutoa topeMvua zimenyesha hamna vumbi mkuu