chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,208
heshima kwenu wadau wa jukwaa hili, laptop yangu aina ya acer windows 7 hai-boot ukiiwasha inatokea black screen na maneno press f2 uki press f2 haifanyi chochote badala yake ina restart yenyewe na kujirudia katika hali iyo iyo na hata ukiizima haizimiki msaada wakuu yani nimekwama kabisa.