Nimekuwa nikitumia laptop, leo asubuhi nilipofika ofisini nikawasha kama kawaida.
muda huu wa mchana nilienda lunch. Niliporudi nikiwasha haitaki kuwaka. Lakini ile taa inayoonyesha kuwa iko on inawaka vizuri lakini kwenye screen hakuwaki. nikajaribu kuwasha na kuzima manually nayo imekataa. Ikawa nikiwasha inapiga kelele kama honi Piiiiiii piiiiii piiiiii mfululizo.
Anayeelewa tatizo anieleweshe nifanyeje now?