Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,343
- 13,865
Laptop yangu nikichomeka waya wa chaji Ile indicator ya chaji inawaka nakuzima na chaji haingii, tatizo hili limeanza muda sio mrefu ilikuwa inachaji vizuri nashindwa kuelewa tatizo litakuwa kwenye charger, betri au laptop yenyewe
Mwenye kujua msaada tafadhari
Mwenye kujua msaada tafadhari