YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
Aaaah! Mgongee thanks kwa vitendo basi!:msela:Nashukuru kwa ushauri na maelekezo ya namna ya kurepair
Aaaah! Mgongee thanks kwa vitendo basi!:msela:Nashukuru kwa ushauri na maelekezo ya namna ya kurepair
Mkuu unamaana niachane na window xp au? nimeizoea naipenda kweli
Aaaah! Mgongee thanks kwa vitendo basi!:msela:
Windows XP Download hapa kisha ui (Burn kwa Nero) Uikopi m kwa NeroMkuu nimejaribu option hiyo kama ulivyonielekeza lakini inagoma, nikichagu option ya >Safe mode with networking lakini inakuwa haina tofauti na nikistart kawaida inanirudisha ktk ile msg na mzunguko unajirudia.
Mkuu naomba nishauri hiyo cd ya xp inapatikana wapi na bei yake ikoje?
Pili nakumbuka nilipo inunua ilikuwa na vista aliyeniuzia akaibadilisha akaweka window xp,,baada ya miezi kadhaa nikapata msg " You may be a victim of software counterfeiting. This copy of windows did not pass genuine windows validation".
nikatumia removeWGA kuifuta hiyo msg, je hii inaweza kuwa na uhusiano na hili tatizo?.
Nashukuru kwa ushauri na maelekezo ya namna ya kurepair
wewe kinakuuma nini mimi niki Copy and Paste? wewe kweli chiziComputer, mimi ninamsaidia wewe unasikia uchungu wa nini? Kopi yakwako na Upaste
copy paste alafu husemi chanzo. Shame on you.
Tutakushindanishana edjizo chizicomputer
wewe kinakuuma nini mimi niki Copy and Paste? wewe kweli chiziComputer, mimi ninamsaidia wewe unasikia uchungu wa nini? Kopi yakwako na Upaste
labda wewe ndio unanishangaa mimi hebu soma hapo juu nimemjibu Mkuu Mayu kataka Windows XP ataweza vipi kuipata nimemtafutia kwenye Google Search ingine kisha nimeipata nimemuwekea hiyo Program ya ku Download Windows XP hakunaacha kuwa mkali ukiocopy kazi za watu unasema. Hivyo ndivyo wataalam wanafanya.
Mtu kasema laptop inagoma kuwaka unalet aarticle zinaongelea mambo ya internet explorer, Microsoft Outloooook.
unfanya hili jukwaa limekuwa recycle bin yako .unatoa google unakuja kubwaga hapa .
Punguza mzizi . Basi ukicopy kitu weka hata sentensi yako moja kufanya summary au anagalizo.
Mimi nakushauri kama mshikaji usione watu wakuwa kimya kumbe wanakushangaaa. ohooooooooooo.