Habari wakuu,
Samahani nimepata tatizo la laptop yangu kustop kwenye welcome screen kila nikijaribu kuzima na kuwasha inaaishia hapo hapo. Nikifanya system repair inasema disk imepata tatizo. Nauliza kama naweza kupata solution ya hilo tatizo maana vitu vilivyomo ndani ndio muhimu sana.
Ambae anaweza kunisaidia anitext 0766458536 kisha nitamtafuta.
Asante.