Mpigie fundi 0764 440 096Naomba msaada ndugu nilikuwa natumia laptop umeme ukakatika nikazima ulivyorudi nimewasha naona inaniambia locked afu Ina weka rangi Kama blue Flani natumia dell na ni window 8 version ni latitude d 630 Asante kwa kusoma na kunisaidia.