Msaada, laptop imegoma kuwaka

Msaada, laptop imegoma kuwaka

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
752
Reaction score
154
naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi na anayejua anachofanya, laptop yangu imegoma kuwaka kila ikiwaka inaishia kulongo logo ya window na kuzima nd sometime inakubali kuwaka kwenye safe mode but also wakati mwingine inazima au kugoma kabisa kuwaka, naombeni msaada , mimi nipo dar boko chama
 
Zima toa battery then iweke, washa afu nambie
 
Ulifanya kitu gani recently au uli add or remove program gani karibuni?
 
Vumbi ikizidi sana kwenye laptop husababisha kuzima au kushindwa kuwaka kabisa, jaribu kuifanyia maintance kwa kuifungua na uisafishe kwa brush mashine yote hasa kwenye feni.
Wakati mwingine kuzima gafla husabishwa na over heating ya processor kama inashindwa kupozwa na feni au kuisha kwa zinc carbon iliyopo chini ya processor, hii fluid ni muhimu sana kwaajili ya kutransfer heat kwenye pannel ili ipozwe na feni.
Weka pc mbali na vumbi
 
I think most of these kind of problems occur in Toshiba laptop due to excessive dust. The best way is to remove RAM chip and clean it thoroughly that will solve the problem.
 
naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi na anayejua anachofanya, laptop yangu imegoma kuwaka kila ikiwaka inaishia kulongo logo ya window na kuzima nd sometime inakubali kuwaka kwenye safe mode but also wakati mwingine inazima au kugoma kabisa kuwaka, naombeni msaada , mimi nipo dar boko chama
Duuh kumbe hauko Entebbe?kama wewe si mtaalamu check na mtalaam akusaidie tafuta mtu anayefanya kazi ya IT,unajua street pagumu so ukienda vibaya kila mtu atakwambia ni fundi then ataharibu.
Jaribu ukiiwasha sikiliza kama feni inazunguka baada tu ya kuwasha,je inazunguka then inazima?Kuhusu kwamba inawezekana ina pata joto sana angalia ikizimika lile eneo yalipo matundu ya feni ni la moto sana au hakuna excessive heat eneo lile.
Epuka ushauri wa bure,just do whatever you are told at your own risk.Fanya hizo simple test then tupe mrejesho nyuma.
 
Ntashukuru sana kama utaweza kunipoint on the right direction, kwa mtaalam ambaye wewe unauzoefu naye na anajua anachofanya

0752 898906
 
Kwa case hiyo kama ni Windows 7 tafata fundi a fix

1. Fix MBR
2. Fix Boot
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom