Laptop imegoma kuwaka msaada jamani

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
348
225
Nimenunua laptop aina ya Microsoft SurfaceGo nikashusha window na baadae ikawa inafanya kazi kama kawaida, nika shut down nikaitunza lkn baada ya muda nilipotaka kuitumia imegoma kabsa kuwaka. Nimechomeka chaji zaidi ya saa moja lkn wapi, hapa nimechanganyikiwa naona kama nimepoteza hela yangu.
Kama kuna mwenye ujuzi labla ya kupeleka kwa fundi anisaidie. View attachment 1574189
IMG_20200914_144327_196_1600147077013.jpg
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,259
2,000
OPTIONS
1. Chomeka adapter kwenye PC halafu jaribu kuwasha
2. Chomoa batterry, kisha irudishie tena halafu jaribu kuwasha huku umechomeka na charger yake
3. Chomoa battery, bonyeza power button kama sekunde 20 kisha, rudisha battery na iwashe kama haijawaka chomeka adapter kwenye PC halafu iwashe
COMPUTER NDIVYO ZILIVYO HUWA ZINASUMBUA SANA
 
Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,275

Asante kwa eilimu mkuu, PC yangu yenyewe kwenye betri inaandika 'consider to replace battery' sijajua ni kwanini inaniambia hivyo, ila inapiga mzigo kama kawaida. Nini shida hapo ...
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,680
2,000
Asante kwa eilimu mkuu, PC yangu yenyewe kwenye betri inaandika 'consider to replace battery' sijajua ni kwanini inaniambia hivyo, ila inapiga mzigo kama kawaida. Nini shida hapo ...
Battery ya computer yako imekaribia mwisho wake. Je unakumbuka ina muda gani tangu uinunue?
 
teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
348
225
OPTIONS
1. Chomeka adapter kwenye PC halafu jaribu kuwasha
2. Chomoa batterry, kisha irudishie tena halafu jaribu kuwasha huku umechomeka na charger yake
3. Chomoa battery, bonyeza power button kama sekunde 20 kisha, rudisha battery na iwashe kama haijawaka chomeka adapter kwenye PC halafu iwashe
COMPUTER NDIVYO ZILIVYO HUWA ZINASUMBUA SANA
Nimejaribu jaribu mara kwa mara baadae ikawaka nikaitumia kama masaa 2 chaji ikawa imebakia %61 nikaizima, nimefika nyumbn najaribu tena kuwasha imegoma. Nimewasha hotspot ya simu yangu naona ime connect lknhakuna mwangawala chochote kinachoonekana. Sasa nauliza window inaweza kuwa imechangia? Maana nimeshusha window jana tu
 
Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,760
2,000
Je specifications za hiyo PC na window zina meet? Kama kabla ya kuzima ulikuwa unapata notification ya kubadili betri huenda hiyo ndio key problem.Weka adaptor vizuri kisha iwashe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom