BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,854
- 262
Ebanae nimepata hii mashine lakini ukweli mimi si mtaalam wa mashine hizi. Kuna hizi software,CCleaner 2.29.1111 na Avira Anti Vir Personal 9.0.0.418. Ninapojaribu ku-install zinanishinda kwani unapo click file kwaajili ya kufanya installation, file inafunguka halafu ina crush bila message yoyote, hilo ndio tatizo langu. Msaada tafadhali