Msaada laptop Hp nx9000

BinMgen

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2008
Messages
1,828
Likes
34
Points
145

BinMgen

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2008
1,828 34 145
Ebanae nimepata hii mashine lakini ukweli mimi si mtaalam wa mashine hizi. Kuna hizi software,CCleaner 2.29.1111 na Avira Anti Vir Personal 9.0.0.418. Ninapojaribu ku-install zinanishinda kwani unapo click file kwaajili ya kufanya installation, file inafunguka halafu ina crush bila message yoyote, hilo ndio tatizo langu. Msaada tafadhali
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
Maelezo yako hayatoshi mkuu. Hiyo LAptop ni Operating system gani( XP VISTA au WIndow 7?
Hizo software unazoweka zina support hiyo OS.?

Kuna antivirus program nyingine ziko kwenye hiyo Laptop? Kama kabla ilikulikuwa na vira 8 hakisha files zote za antivirus ya zamani zimefutwa.

kwenye desktop
kwenye folder la program files
kwenye all user profile ie C:\Documents and Settings\All Users\Application Data\Avira\

kwa haraka nahisi kuna mafaili ya program kama hizo za zamani bado yapo ndo maana installation mpya ina crush. Not sure though
 
BinMgen

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2008
Messages
1,828
Likes
34
Points
145

BinMgen

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2008
1,828 34 145
Mtazamaji nimefuata maelekezo yako lakini sikukuta mafaili ya program hizo.
.
Ama operating system ni Win xp professional version 2002 sp 2. Msaada tafadhali.
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
1. Jaribu kuinstall versionza nyuma za hizo softwares ( Nina maana versio 8 au 7 ya antirus.) Pia unaweza kujaribu kuinstall antivirus nyingine kama avast.( its free and good) Ikikubali hiyo unaweza kuwa nayo wakati unajaribu kuchunguza tatizo nini kwa AVIRA unayopenda wakati PC yako iko protected. Ikikataa then itazidi kutoa mwanga zaidi

2. Install latest SP ya XP ambayo ni SP3. baada jaribu tena kuisntall hizo sofware

3. Cheki kwenye installion Drive C kama ina space ya kutosha kuruhusu program nyingine.

4. Try to post the problem kwenye official website ya avira au search kwenye forum inawezekana kuna watu walishakutana na hilo tatizo na suluisho likapatikana.

otherwise nitumie yahoo mesenja adress yako.i will happy to help.
 
NAshku kwa moyo wako wa kujitola. Nafanyia kazi ushauri wako.
 
Forum statistics

Threads 1,204,696
Members 457,412
Posts 28,167,024