Msaada jinsi ya kuondoa error message kwe PC

Msaada jinsi ya kuondoa error message kwe PC

chew

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
229
Reaction score
143
Habari wana jukwaa.
Nikiwasha laptop yangu kuna hii message inakuja, na hata nikibofya OK bado inarudi hadi ufanye hivyo angalau mara 10.
IMG_20171229_131545.jpg

Msaada jinsi ya kuiondoa tafadhali.
Tatizo lilianza siku nilipo install ARCGIS kidha nika uninstall ndo hicho kimessage kikaanza kuja kila niwashapo PC.
Natumia HP ...Windows 10
Nawasilisha.
 
pengine ina vimelea vya hio program vimebaki.

1. jaribu kuweka upya hio program

2.alternative nenda task manager kwa ku right click pale chini kwenye taskbar halafu chagua task manager, ingia kwenye startup, kama ipo hio program ya ARCGIS idisable isijifungue.
 
Thanks, Chief. Ngoja nijaribu
 
Au naweza kupata program ya ARCGIS ili niinstall upya, mwenye nayo tafadhali
 
angalia juu task manager ina tabs, juu kulia kuna startup click hapo
kama huoni hizo details means task manager ipo kwenye mode ndogo. click chini kuna sehemu imeandikwa more details ili ifunguke vizuri.
 
Back
Top Bottom