Msaada kwenye youtube

Msaada kwenye youtube

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,361
Reaction score
604
Heshima kwenu Wakuu Jamvini!

Natumia simu aina ya Nokia E5.
Kama simu sasa simu yangu kila nijaribu kucheza video kwenye youtube inaniletea ujube huu;-

400. That's an erro.
Your client has issued a malformd or illegal request . That' all we know.
Naomba kwenye ujuzi nifanyeje ili nipate endelea kuangalia video kwenye youtube?

Nawasilisha kwenu wapendwa!
 
unatumia Aplication ya youtube!!? Au unaenda moja kwa moja kwa browser
 
Naenda moja kwa moja kwenye Youtube
 
Naenda moja kwa moja kwenye Youtube
 
mm mwenyewe nna tatizo kama hlo,natumia youtube downloader kwenye nokia e71
 
Back
Top Bottom