msaada kwenye window 8

msaada kwenye window 8

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
13,369
Reaction score
30,011
nmebadlisha window from 7 to 8 but nna tatizo la divx nmejarbu kuinstal ilipkuepo inagoma msaada mwenye divx ambayo iko compatible na window 8
 
ntaipata wap au kama una aces na web yoyote tafadhal
 
nmebadlisha window from 7 to 8 but nna tatizo la divx nmejarbu kuinstal ilipkuepo inagoma msaada mwenye divx ambayo iko compatible na window 8

install iyo iyo ila badili iwe kwenye compatibility mode iwe kwenye windows 7, kisha run installer itakubali
 
Back
Top Bottom