Curious Naturally
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 528
- 523
Wakuu, nina 195,000/- na nina mpango wa kununua simu, inayokaa line moja, na ambayo haibagui aina ya simcard, na nzuri, yenye wats up, speed nzur kwenye browsing, na haisumbui. Naomba msaada, ninunue simu gani/model ipi?