Hikma
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 497
- 415
Habari wanajukwaa.
Naombeni ushauri wa kitaalamu kwenye mada tajwa.
Nataka kufunga system mbili zenye kujitegemea za solar nyumbani kwangu.
1. System yenye uwezo wa kuwasha taa 20 za wats 9 (energy savers) kwa masaa 12 bila kwikwi.
2. System yenye uwezo wa kuwasha tv ya inchi 32 (flat), king'amuzi, dvd player, feni ndogo, na redio ndogo.
Nyumba imeshafanywa wiring ya kawaida.
Nitashukuru kama nipatiwa orodha ya vifaa vitakavyotakikana kwa kila system, makadirio ya gharama, pamoja na ushauri wa dealer mzuri anayeviuza.
Natanguliza shukrani