Msaada kwenye uchongaji wa Funguo za magari

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Wakongwe habari zenu

Aisee mie nilikuwa nina swali naomba kuuliza

Ni kuwa kwa hapa Dar Es Salaam ni wapi naweza kuchonga funguo ya gari wakaniwekea na kichwa cha funguo cha PLASTIC ambacho ni kama vile vichwa vinavyokuja na Gari lenyewe

Kwa maana ya hivi

b370227.jpg

toyota-key-shell-2-png.jpg

20110225210516.jpg

Maana funguo nyingi zinazochongwa huwa haziwekwi kichwa na baala yake huwekwa tu vichwa vya bati au chuma kama hivi

Eseries%2FE084.jpg

Kuna mtu mnayemjua wakongwe anaweza nichongea funguo ya gari akaniwekea na kichwa kama hicho cha Totoya ambacho kina quality nzuri na gharama zao ni sh ngapi??

Natanguliza shukrani
 
Sijajua uko wapi ila Dsm mchonga funguo wa siku nyingi yupo mtaa wa Zanaki sikumbuki jina ila ni wahindi (Kimji kama sijakosea)

Kama unatokea CBE kuingia zanaki duka lipo kushoto mbele kidogo baada ya mtaa kuliko na mahekalu ya wahindi.

Dakika 5 utakuwa na funguo yako mpya

Design zote zipo hela yako tu!
 
Shemeji yako kakuruhusu kuchonga funguo ya gari yake?

Muombe ruhusa kwanza usije kusababisha Dada yako aachwe.

UKISOMA THREAD ZANGU ZILIZOPITA UTAJUA KUWA MIMI NA WEWE NI LEAGUE TOFAUTI TRUST ME WE SOMA TU UTAJUA KWANINI NAKWAMBIA

GARI LANGU LA KWANZA KUMILIKI ILIKUWA NI gx 90 ILIKUWA MWAKA 2003 MWAKA HUO NAHISI BADO ULIKUWA UKO SHULENI
 
''Usiseme sisi watanzania ni masikini, masikini ni wewe na familia yako.'' by C.T.U

heshima kwako mkuu. By the way, umemjibu vyema sana huyo mdau mwenye primitive thinking!

Back to Topic:

I don't have a clue kwakweli as sijawahi kumiliki gari. Ila huwa nasikia wenye magari wengi wakisema kuwa ule mtaa wa Zanaki kuna wachonga funguo za magari. Jaribu hapo kaka.

And for car security purposes, huwa inashauriwa kwamba usiende na gari husika pale. Paki gari lako mbali sana, then nenda na funguo tu. Baadhi ya watu siku anaenda kuchonga ufunguo, gari huliacha home kabsa, just for security alert!

- Kaveli -
 
shukrani sana mkuu
 
Kama Upo dar es salaam nenda pale osteybay shopping center ukiingia pale tafuta kuna duka linauza vifaa kama spana na vitu vingine vingine vingi lina litwa Tayebi wanachonga kwa style hiyo unayotaka
 
nenda zanaki hapo opposite na neha batteries, kuna duka hapo lipo jirani na ofisi za skymark
 
Wakongwe habari zenu

Aisee mie nilikuwa nina swali naomba kuuliza

Ni kuwa kwa hapa Dar Es Salaam ni wapi naweza kuchonga funguo ya gari wakaniwekea na kichwa cha funguo cha PLASTIC ambacho ni kama vile vichwa vinavyokuja na Gari lenyewe

Kwa maana ya hivi

b370227.jpg

toyota-key-shell-2-png.jpg

20110225210516.jpg

Maana funguo nyingi zinazochongwa huwa haziwekwi kichwa na baala yake huwekwa tu vichwa vya bati au chuma kama hivi

Eseries%2FE084.jpg

Kuna mtu mnayemjua wakongwe anaweza nichongea funguo ya gari akaniwekea na kichwa kama hicho cha Totoya ambacho kina quality nzuri na gharama zao ni sh ngapi??

Natanguliza shukrani
Manji Keys mtaa wa zanaki i guess watakuchongea kama hizo. Wana blank keys design zote. I guess ni gari ya kawaida i.e toyotas vits,mark2 etc maanake funguo kama za mercedes,bmw baada ya kuchongo haiwezi kuwasha gari mpaka ifanyiwe programming.
 
Duh sikuwa nalijua hilo
 
Okay shukrani sana wakongwe hakika hapa ni darasa tosha viva JF
 
Nenda kinondoni opposite na mwanamboka kituo cha mafuta upande ile wa wanaouza spea za magari kuna mzee mmoja anachonga hatari!na ni mkongwe ktk fani hiyo..garama yke ni tsh 10000 tu
 
Ndg fika dukan kwe2 manj key utapata suluisho tupo MT zahanak tulifunga kwa mda mabos walisafir tumefungua jana sasa tuko wazi karibuni manji key suluisho la funguo.
 
Manji Keys mtaa wa zanaki i guess watakuchongea kama hizo. Wana blank keys design zote. I guess ni gari ya kawaida i.e toyotas vits,mark2 etc maanake funguo kama za mercedes,bmw baada ya kuchongo haiwezi kuwasha gari mpaka ifanyiwe programming.
Bado mpo hapo zanaki
 
''Usiseme sisi watanzania ni masikini, masikini ni wewe na familia yako.'' by C.T.U

heshima kwako mkuu. By the way, umemjibu vyema sana huyo mdau mwenye primitive thinking!

Back to Topic:

I don't have a clue kwakweli as sijawahi kumiliki gari. Ila huwa nasikia wenye magari wengi wakisema kuwa ule mtaa wa Zanaki kuna wachonga funguo za magari. Jaribu hapo kaka.

And for car security purposes, huwa inashauriwa kwamba usiende na gari husika pale. Paki gari lako mbali sana, then nenda na funguo tu. Baadhi ya watu siku anaenda kuchonga ufunguo, gari huliacha home kabsa, just for security alert!

- Kaveli -
nani ana muda wa kuiba IST? na tracking device zilivyojaa mjini bado unaogopa kuibiwa? hiv anaechonga funguo akiamua kukufuatilia (Kidigitali- kwa kuweka chip ya kutrack movement ya gari lako) kwenye hiyo funguo atashndwa nn?
 
UKISOMA THREAD ZANGU ZILIZOPITA UTAJUA KUWA MIMI NA WEWE NI LEAGUE TOFAUTI TRUST ME WE SOMA TU UTAJUA KWANINI NAKWAMBIA

GARI LANGU LA KWANZA KUMILIKI ILIKUWA NI gx 90 ILIKUWA MWAKA 2003 MWAKA HUO NAHISI BADO ULIKUWA UKO SHULENI
Hatari sana mkuu...mimi nilikua form 1 mwaka huo...
 
Back
Top Bottom