Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Tafadhali naomba maelekezo jinsi ya ku-Install microsoft office 2007 kwenye UBUNTU
Kuna mambo nataka kuyafanya sasa shule yake kwenye libreOffice Writer inanizingua acha kabisa .So kurescue situation kwa muda ndio nahitaji niweke hizo manenotabu ya nini wakati Ubuntu inakuja loaded na office suite?
Kuna mambo nataka kuyafanya sasa shule yake kwenye libreOffice Writer inanizingua acha kabisa .So kurescue situation kwa muda ndio nahitaji niweke hizo maneno
Mkuu kwani hakuna office apps mbadala ndani ya UBUNTU OS zenye kufanya kazi unaitaji, kama vipi tafuta sites zenye open source software za kukidhi mahitaji yako - mbona ziko chungu mzima mkuu; husiwe windowscentric mno - dunia inabadirika mkuu.