Msaada kwenye tuta

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
296
Jamani naomba mtu mwenye sample au fomati ya barua ya kupeleka posa anisaidie,nitashukuru.
 
Mkuu itakuwa vyema ukiwasiliana na Wazee wako naimani miongoni mwao walishawahi kufanya hili.
 
Mkuu itakuwa vyema ukiwasiliana na Wazee wako naimani miongoni mwao walishawahi kufanya hili.

Mawasilino nao yatachukua muda,wapo mbali,nashukuru kwa ushauri
 
Yah:kumpenda binti yenu! mimi ni kipara bin chogo,nimetokea kumzimikia binti yenu salama binti kasri hivyo naomba mniruhusu nimgegede siku zote za duniani.wenu katika ujenzi wa familia..k.c.Wabheja sana !!
 
hahahahahahaha Munkari ya kwako ndo ilikuwa hivyo eeeeh
 
Last edited by a moderator:
basi hata wazee wa beste yako au besti yako...jf tutasaidia hadi kuoa mwaka huu
 
Hahahaha mbavu zangu.!!!! Unavituko sana
 
Dah! hii mitandao...... baadaye tutakuwa tunatuma barua ya posa kwa email na mahari tunalipa kwa njia ya tigopesa,mpesa NMB Mobile Simbanking..etc hivi barua za posa zina mtirirko sawa na barua za kikazi au ni za kirafki nauliza wandugu
:A S-coffee:
 
Yeah mostly huwa na anuani 2,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…