Bwana weee! Haisemwagi hivyo.Ungesema hivi:Nataka kuweka avatar, nifanyeje?
Kama ni hivyo, zingatia yafuatayo. Kwanza kabisa hakikisha picha au mchoro unaotaka uwe avatar yako unaweka kwenye 'My Documents' (I assume that you are using pc/laptop.
Step 2. Ukiingia JF tazama juu kushoto utaona Settings. Bofya hapo.
Step 3.Kwenye ukarasa utakaofunguka baada ya kubofya settings, tafuta na bofya Edit Avatar.
Step4. Kwenye ukurasa wa edit avatar angalia penye use custom avatar kisha bofya choose.
Step5. Baada ya choose utapelekwa My Documents na hapo chagua avatar yako.
Step 6. Ukishachagua avatar ukurasa mpya unafunguka, na hapo tafuta neno Save kisha bofya hilo neno.
Step7. Tayari avatar yako itakuwa imeshatumwa kwenye servers za JF na utaiona hapohapo.
HAKIKISHA AVATAR YAKO HAIVUNJI MAADILI YA KITANZANIA eg picha za uchi nk.