Kwani nahishi kwa kuwaeleza wenzangu kinacho endelea maishani mwangu?
wenyewe wananieleza ya maishani mwao? si nasema tu sitaki kupokea hii sim?
Halafu sijasema ku act strongly ni physical strength, ni character strength.
Character strength muhimu sana katika hili zoezi, na kila mtu anatakiwa kua nayo.