msaada kwenye tuta!!!

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,052
165
wakuu nimenunua simu ya samsung 3300k lakini access ya internet iko slow sana,kwa mwenye ujuzi anisaidie ni vipi naweza kuinstall opera mini au any other software itakayoongeza speed ya internet,
 

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
156
Weka operamını ndıo lıtakuwa suluhısho la tatızo lako,tena weka ıle ya 4.3
 

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,052
165
aisee nimefanikiwa mkuu but nimeshindwa kuiweka kama default!nataka nikibofya kitufe cha internet ifungue direct.kwa sasa nalazimika kuinstall file la op min kila ninapotaka kubrowse!!!
 

gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
294
98
Angalia kwenye listi ya games unawexa kuikuta icon ya opera min.
just as hosanna tech wrote..
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,298
1,860
Hiyo simu haina 3G, Opera Mini itakuongezea spidi ila haitakuwa nzuri sana.
 

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
156
iv mmesikia ya Zambia kuwa SATA MICHAEL ndo raic mpya wa tano

sijui mkuu jarıbu kupitia jukwaa la şiaşa au habarı mchanganyıko ndıo utapata jibu lako.
 

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
Pia inategemea na mtandao gani unatumia kwa ujuzi wangu tigo katika gprs/edge wako ovyo sana... nzuri ukiwa na zantel wako fast sana...unaweza

angalia video za youtube kwa gprs... na pia kama haitoshi wanagwa 50mb kwa 500... what better would u ask for :)
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom