coco bella
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 305
- 315
Nimepata safari ya kwenda Maeneo ya KINGORWILA, MOROGORO kikazi lakini mwenyeji wangu ananiambia guest zote zimejaa hivyo inabidi nipitilize mjini na inavyoonesha nitafika usiku sana naomba msaada kwa aliyeko Morogoro mjini anisaidie kuniangalizia lodge nzuri kama mnavyojua weekend imeanza nahofia kukosa pa kulala!!! Nahitaji msaada kiukweli!!!! Ahsante
