Msaada kwenye tuta

Tresa

Senior Member
Oct 23, 2018
131
232
Wakuu shikamooni !
Njia gani rahisi salama na ya uhakika naweza kupokea pesa kutoka nje ?
 
The safe and fastest way Is by Bitcoin
Fungua acc localbitcoins.com then after kupokea btc unauza kwa wakala wa TZ then utachagua pesa akutumie wapi (MPESA, TIGOPESA... or BANK)
Kama anaekutumia pesa ni member wa localbitcoins itachukua 5 minutes adi kushika pesa yako.
Kama sio member wa localbitcoins itachukua up to 35 minutes adi kushika pesa yako.

*Usome masharti na vigezo vya localbitcoins kwa kujiridhisha zaidi.
 
Ahsante mkuu, ila anyetuma hana knowledge kabisa ya hiyo bitcoin sidhani kama itakuwa rahisi kwake.
 
Bitcoins ni rahisi sana kutuma & kupokea.
Nakushauri umwambie ajifunze haitazidi 1 hr.
Otherwise ajaribu njia zingine kama WU, Moneygram.. etc
 
Back
Top Bottom