msaada kwenye tuta.

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,552
3,465
Hivi ukifuatilia michango yako ya hifadhi ya jamii mfano pspf na ukakuta kuna miezi kadhaa mwajiri wako alikuwa hachangii unapaswa kuchukua hatua gani kama mwajiriwa?utaratibu unajulikana mwajiriwa na mwajiri wanapaswa kuchangia.
 
Ni kumkumbusha kwa evidence kwamba hajachanga.Mifuko ina vitengo vya compliance ambavyo ndio kazi yao ya msingi kufuatilia michango na kutoza fine pale inapochelewa
 
Back
Top Bottom