MSAADA KWENYE TUTA WAKUU

paliemba

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
445
212
Kwanza kabisa napenda kuwa salimu wote kwajina la yeye aliye Juu. Nilikuwa naomba kufahamishwa namna ya ku m PM mtu humu jamii forum kwani kila nikijaribu naambiwa Not support module private message . Natanguliza shukrani nyingi
 
Back
Top Bottom