Msaada kwenye Tuta: Qatar Airways | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye Tuta: Qatar Airways

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Abdulhalim, Sep 22, 2009.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wakuu Heshima mbele,

  I'm in a planning stage kwenye kupanga safari kutoka point A kwenda B, where A and B are variables XYZ points, via usafiri wa anga.

  Sasa ishu inakuja ktk kufanya research ndogo, nimeona kama Qatar Airways ina ka-unafuu fulani kwamba naweza ku-save vijidola viwili vitatu vya kuvutia siku nitakapokuwa huko ugenini, ukilinganisha na Airlines nyingine.

  Ok, hoja ni kuwa naomba msaada wa mawazo, kwa wale wenye uzoefu na hii Airliner, Je ku-save huku ni cost-effective? Au hussles zinakiuka ubahili? Huduma ni za kuridhisha? Because I want to spend every minute of my life at ease si mnajua maisha yenyewe mafupi ( Raha jipe mwenyewe).

  Mchango wenu utazingatiwa na kushukuriwa.

  Wakatabahu.
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  mi nimeshasafiri nao sana tu, ni wazuri, ndege za zinaaminika na hakika utasevu hito tudola. kama unaenda dar kwa mfano inabidi kubadili pale doha but all in all sio mbaya ni cost effective.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Asante mdau, waiting time yao pale Doha pia ni nzuri na hicho ndicho kinachonivutia zaidi. Sipendi kuzagaazagaa kusubiria ndege ya kuunganisha.

  Vipi kuhusu huduma, mambo kama :

  1. Ukarimu na Tabasamu mwanana za wahudumu
  2. Vyakula (halaal au kila kitu)
  3. Vinywaji, soft and 'non-soft'
  4. Air conditioning
  5. Customer care kwenye desks zao
  6. Online check-in, is it possible etc etc?
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh, unafuu wa fare unachangiwa na masaa utayosota pale Doha ukisubiria kuunganisha ndege. Chunguza vizuri ticket, ama wakati wa kwenda au kurudi mojawapo lina walakini.

  Transit lounge zaidi ya masaa matatu kwangu ni kero, sijui kwako mkubwa unawezaji kuvumilia masaa yote hayo...!

  Online check-in kwasasa sio kitu cha ajabu tena sababu ya E-tickets, ingawa ndege mbili tatu hilo gumu ukisafiria toka JK Nyerere A'port.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Aisee kiongozi,

  Hilo la kusubiria pale Doha kwa kweli nikizingatia tarehe zangu na kulinganisha na Airliners nyingine naona Qatar watanisaidia mno. Airliner nyingine ni muda mrefu mno wa kusubiria zaidi ya masaa 4. Nimecheki KLM na Emirates hawana unafuu kwenye hili, na gharama zao ni za juu pia. Kwa kifupi ticket sijakata bado nangojea input zaidi ili niamue kujicommit kwenye ku-fix option yenye unafuu.

  Halafu unaeza ku-elaborate hapo kwenye buluu? (samahani lakini)
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hawa ni wazuri sana na utafurahia huduma zao. Vile vile Ukiwa Doha tafadhali tuwasiliane naweza kuja kukutoa kidogo upate mandhali nzuri ya hapa.

  Karibu sana. Nifahamishe nitakuja kukuona.

  Dr Hamza
   
 7. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hebu tujulishane vizuri hapo Mkuu, ina maana mtu aliyepo uraiani na wala hana ticket anaweza kuingia hadi kule waiting lounge? Mimi sielewi, lakini nilipita pale Doha nikitokea Colombo, na kuna jamaa zangu hapo Doha ambao wala sikujishughulisha kuwainform kwamba napita hapo kwa kuwa niliamini kwamba hawawezi kuruhusiwa kuja lounge bila ya wao kuwa na ticket. Inakuwaje hii?
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Inategemea na kama utakuwa Transit kwa zaidi ya masaa mawili, HILO BILA SHAKA NITAWEZA KUKUONA ila ikiwa chini ya muda huo naweza mwambia Mtoto wangu pale airport na tukaongea kwa simu.
   
 9. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Vinywaji non-soft kibao (kabla sijasafiri nao nilifikiri hawatoi). Ila tatizo ninaloliona la Qatar Airways ni kwwamba wana levels mbalimbali za huduma kutegemea na route. Route za ulimwengu wa kwanza (US, Europe..) zina tabasamu nyingi, better customer care, etc. kuliko za third world destinations (Dar ndani).
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  yeah ni kweli hata aina ya ndege inakuwa tofauti pia, za masafa ya europe ni kubwa zaidi..route ya dar wanakuwa sijui wanatuona waswahili wakati mtu una tiketi kwamba doha unapita tu? mivinyo ipo kama kawaida ila kiti moto hakuna.,..
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mpemba kwa kupenda mdondo.....panda Ehiopians airlines ni cheap kimtindo ila muda wa kusubiri si chini ya 4hrs.....tafadhali usije kutuharibia amani Pemba....
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Shem umepotea kimtindo....salama lakini!
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  shem nilikuwa kwenye mfungo nikitafakari kwa mapana zaidi juu ya kupunguza huu mzigo wa dhambi niliona nao......
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sasa umefungulia kila kitu? pole pole mazee usiuze mechi tu!
   
 15. M

  Magezi JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli Qatar Airways ni wazuri kwa huduma, ila hata mimi nashangaa kwa nini usichukue Ethiopian Airlines ambayo ni cheap sana? Ingawa ndege zao si mpya sana lakini mi naona kwa ku-save dola ni bora ET flights, lakini kwa kweli ndege zao si mpya.
   
 16. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa umesema bado huko kwenye kupanga safari na haujaamua usafiri na ndege gani mimi nakushauri uwajaribu na Egyptair. Ndege hii watu wengi hawaijui lakini nakuhakikishia ndio cheap kuliko hata hiyo Ethiopian airline. Muda wa kusubiri pale Cairo inategemea siku na sehemu unayokwenda. Ofisi zao ziko pale "movinpik Hotel - Sheraton ya zamani" (sina uhakika kama spelling ziko sahihi).

  Tafadhali ukimaliza uchunguzi wako na kufanya selection ya ndege ya kusafiri nayo tutaarifu na utupe vigezo vilivyokuongoza kufanya huo uchaguzi kwa manufaa yetu sote.

  Tiba
   
 17. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Hebu wajaribu na Egypair. Hawa ni cheap kuliko ndege yoyote hata Ethiopian Airline hawaoni ndani. Muda wa kusubiri kuunganisha pale Cairo unategemea unakwenda wapi na ni siku gani. Najua watu wengi hawajui kwamba hii ndege ni cheap. Ofisi zao hapa Dar ziko hapo Sheraton Hotel ya zamani sijui siku hizi mnaiita movenpick.

  Tafadhali ukimaliza uchunguzi wako na kufanya uchaguzi usafiri na ndege gani tufahamishe ni ipi umeichagua na utupe vigezo ulivyotumia kwa faida yetu sote.

  Tiba
   
 18. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2009
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli sikushauri utumie Egypt air. Niliitumia back in July from London to Dar kupitia Cairo. Kwanza jamaa hawazingatii muda hata kidogo. Tulianza kupoteza muda London kwani ndege ilichelewa kwa masaa mawili. Kwa kuwa tulikuwa tunaunganisha ndege pale Cairo niliwauliza kama tutawahi na walinihakikishia kuwa tutawahi na walinicheck-in mpaka sector ya Cairo-Dar. Cha ajabu tulipofika Cairo saa sita usiku (Cairo time) tulikuta ndege imeshaondoka kuelekea Dar. Tuliambia kuwa tutawekwa kwenye ndege inayofuata ambayo itaondoka masa 24 baadae. Haya maneno tulikuwa tunaambiwa kwa dharau kubwa tu na wawakilishi wa Egypt air pale Cairo. Mpaka tunapelekwa hotelini ilikuwa saa 12 asubuhi. Kwa kuwa nilikuwa na mtot mdogo wa miaka 2, nilipata taabu sana. Toka siku hiyo nimeapa kuwa sitatumia huduma za Egypt air tena.
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Waheshimiwa viongozi shukran sana kwa ushauri wenu. Ila kuna input nimepata kwamba Ethiopia Airlines ndege zao hazipo ktk state of art, na nachelea Wamisri hawana hulka ya biashara. Hata wakenya sidhani. Nasubiria inputs zaidi lakini naelekea kukata shauri pia.

  Shukranini.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mazee input yako haieleweki. Halafu unasema napenda mdondo, hivi waelewa maana ya mdondo wewe mbara?
   
Loading...