Msaada kwenye Tecno H6 meseji hazifutiki

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa zinarudi. Anasema hili tatizo ni tangu ameinunua.

cc: Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo please.
 
Mimi Nina tecno S3 baadhi ya SMS hazifutiki
 
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa zinarudi. Anasema hili tatizo ni tangu ameinunua.

cc: Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo please.

Nenda settings - apps - then ingia tab ya all apps - tafuta iyo app ya message - then clear data

Kama iyo application ilikuja haina text yoyote then ita clear storage yoyote iliyofanya ya messages kwenye sim yako, but kama application ilikuja na hardcoded texts messages, basi hata ukifactor reset haitasaidia kitu
 
Ok, nitajaribu hii option mkuu.
 
wembeee hizi tecno vipi? Mbona kila kukicha malalamiko?
 
Last edited by a moderator:
Pia za kujifunzia mtto wa mchina cc Jimena
 
Last edited by a moderator:
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa zinarudi. Anasema hili tatizo ni tangu ameinunua.

cc: Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo please.

Kuna application ya backup na kaweka menu ya msg ON. Mwambie aweke OFF tatizo atatibu
 
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa zinarudi. Anasema hili tatizo ni tangu ameinunua.

cc: Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo please.

Simu nyingi za smartphone sms zinakaa kwenye line hata ukifuta kwenye line zitabaki. Ili ufute zote katika simu nenda kwenye setting ya message > text messages > manage/load sim card messages chagua line futa zote hautaziona tena zikirudi.
 
hii Ndyo solution.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom