Niliwahi kuwa na Samsung Galaxy Mini,nikaenda kwa mtu,nikaomba charger, cos matundu yalikuwa yanafanana,kilichotokea ni kuwa nikiweka charger tu,inaanza kufanya mambo kama hayo unayosema,nikatoa charger ikatulia,nilipoicharge kwa charger yake original hivyo vijimambo havikuwepo,sasa jrb kutafuta charger nyingine.