Tafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2, nauliza code hizo ni zipi?
Tafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2,nauliza code hizo ni zipi?