mwanakijiji lugusi Senior Member Joined Apr 13, 2016 Posts 128 Reaction score 98 Oct 5, 2017 #1 Wadau nisaidien Mimi kila nikiingia kwa profile inagoma inaniandikia password sio najaribu kureset nyingine lkn password mpya inanigomea tatizo nini
Wadau nisaidien Mimi kila nikiingia kwa profile inagoma inaniandikia password sio najaribu kureset nyingine lkn password mpya inanigomea tatizo nini
mbelwaz Senior Member Joined Sep 12, 2017 Posts 133 Reaction score 121 Oct 5, 2017 #2 Umesahau username na username ni email yako
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,926 Oct 5, 2017 #3 Nafas za watu hiz nashika
Martinezz Jr Member Joined Aug 29, 2017 Posts 16 Reaction score 4 Oct 5, 2017 #4 username: email yako ,password: n email password yako