kichwanazi
Member
- Apr 11, 2013
- 89
- 9
Inategemea na nn unacho surf. Kama una stream online, Server ya Florida na Chicago ndio naona kwangu ziko Makini. Kwani naweza kustream Movie mwanzo hadi Mwisho bila kukatika.
Kamua torrent 1 inatwanga kote kote speed kali but inategemea barabara ya sehemu uliponaombeni mnisaidie ni server gani zenye speed nzuri kwenye pd-proxy..?
Mkuu unanifananisha na C.T.O
Kamua torrent 1 inatwanga kote kote speed kali but inategemea barabara ya sehemu ulipo
Yeah... kuna kipindi huipati kabisa maana unaambiwa iko full.Ni kweli mkuu, torrent 1 iko vizuri, japo wakati mwingine inakuwa down!
umenena mkuucha muhimu wewe kama unajali speed kuliko nchi ambayo server inatokea jiepushe na majina maarufu. watu wengi wanalenga miji na nchi kubwa kama ny marekani au la, na uingereza.
we ingia server za uholanzi, lithuania, urusi speed inakua kubwa sababu no one care
cha muhimu wewe kama unajali speed kuliko nchi ambayo server inatokea jiepushe na majina maarufu. Watu wengi wanalenga miji na nchi kubwa kama ny marekani au la, na uingereza.
We ingia server za uholanzi, lithuania, urusi speed inakua kubwa sababu no one care
naombeni mnisaidie ni server gani zenye speed nzuri kwenye pd-proxy..?
nadhani mkuu kishapata majibu na yote yapo sahihi, ila ningemchakia tu hata inapokuwa 3g haipo stable basi speed inashuka sana na pia location ndio kigezo kikubwa kwa mfano wewe upo dar unatumia server ya torrent1 ipo full speed basi usidhani na wa mwanza atapata speed hiyohiyo kwa server ya torrent1Pm kwa munjy1 ndie mtaalam wa hayo mambo.