Msaada kwenye pc

Baraba

Member
Jan 2, 2015
62
27
Poleni na majukumu wadau. Nashida kwenye PC yangu kila nikiwasha inaandika maneno Hays
Logon process initialization failure.
Please consult the event log for more details .
Alafu aifunguki kabisa inaishia hapo
Mwenye kujua anijuze
 
Aina ya PC, Windows ipi, imeanza lini ilo tatizo, ulifanya nini mara ya mwisho kabla hujaizima..?

Haya, jaribu kui-recover katika last good configuration/state.
 
Poleni na majukumu wadau. Nashida kwenye PC yangu kila nikiwasha inaandika maneno Hays
Logon process initialization failure.
Please consult the event log for more details .
Alafu aifunguki kabisa inaishia hapo
Mwenye kujua anijuze

Jaribu kuingia kwenye Bios , setupDate and Time
 
Back
Top Bottom