Msaada kwenye machaguo ya Vyuo

Msaada kwenye machaguo ya Vyuo

Nicole_un

Member
Joined
Sep 23, 2022
Posts
15
Reaction score
25
Hello, nlikua nahitaji msaada!

Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case hicho chuo hujakipenda na ukapata bila kuicancel au kucomfirm hiyo first selection yako? Au bila kucancel, vyuo vingine ulivyoapply kwenye second selection havitokuchagua?

Au hiyo kitu hsiusiani na second selection ako as long as umeapply tena?
 
Kama ulipata chuo kimoja yaani single admission haina haja ya ku confirm coz confirmation code wanatumiwa wale wanye multiple admission.Pia unaweza kuomba chuo kingine bila ku cancel admission ya chuo cha awali na bado ukapata,ukishapata chuo kwenye second round utaingia kwenye kundi la wenye multiple admission
 
Mkuu samahani!! Na kama umechaguliwa vyuo viwili na haukufanya confirmation katika chuo chochote!! Bado unaweza kuomba na ukapata
 
Hello, nlikua nahitaji msaada!

Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case hicho chuo hujakipenda na ukapata bila kuicancel au kucomfirm hiyo first selection yako? Au bila kucancel, vyuo vingine ulivyoapply kwenye second selection havitokuchagua?

Au hiyo kitu hsiusiani na second selection ako as long as umeapply tena?
Uliapply mwenyewe chuo kimoja... sasa kama umekipata unatafuta kingine cha nn?

Tatizo mnatabia ya kuiga watu na kuwa na marafiki wa hovyo kisa kapata chip fulani huku wewe hukujaza!
Mnakera sana!
 
Una kiherehere mkuu!..

Iko hivi…. First round unaweza chagua hata zaidi ya viwili ila huko kwingine ukakosa ndio ukachaguliwa kimoja, let say umechaguliwa kwenye chuo sio priority yako.

Second selection ukarudia, ukapata vingine tena.. natumaini ndicho kilichomtokea mtoa mada.
 
I guess hukuelewa,first selection unaweza kuapply vyuo zaidi ya kimoja!na ndicho nlichofanya! Nliapply vyuo vinne na napata kimoja ambacho hakikua my priority among those! That's why mmeuliza if it's possible kuapply Tena nkapata regardless ya kuchaguliwa hicho chuo kimoja tu!!!
Na sio issue za sijui kuiga marafiki au nini!so please jaribu kuelewa tatizo la mtu kwanza kabla
 
Thanks make

Aise, Asante sana make hicho ndo nlicholenga kuuliza haswa
 
I guess hukuelewa,first selection unaweza kuapply vyuo zaidi ya kimoja!na ndicho nlichofanya! Nliapply vyuo vinne na napata kimoja ambacho hakikua my priority among those! That's why mmeuliza if it's possible kuapply Tena nkapata regardless ya kuchaguliwa hicho chuo kimoja tu!!!
Na sio issue za sijui kuiga marafiki au nini!so please jaribu kuelewa tatizo la mtu kwanza kabla
Inawezekana..

Dogo mie ali apply vi3, akapata SUA.. akaikataa

Second tukarudia, katika vile alikosa na tukaongeza vingine.. akapata kote

Amefanya confirmation alipotaka yeye.
 
Hello, nlikua nahitaji msaada!

Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case hicho chuo hujakipenda na ukapata bila kuicancel au kucomfirm hiyo first selection yako? Au bila kucancel, vyuo vingine ulivyoapply kwenye second selection havitokuchagua?

Au hiyo kitu hsiusiani na second selection ako as long as umeapply tena?
Kila la kheri
 
Unaweza omba chuo kingine ... Kucomfirm haijalishii ila unawez na kam ukipat ndio mwenyeo utadecide
 
Asante.Nlifanyikiwa kuomba chuo kingine kwenye third round bila kucancel Wala kucomfirm na nimepata
 
Back
Top Bottom