proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,353
Wadau habari za muda huu,
Nina frequency za radio ambayo inapatikana almost mikoa 3 Sasa, naomba kusaidiwa yafuatayo:
1) Ni namna gani nitaunganisha Radio na YouTube channel ili vipindi viwe live?
2) Nina application ya Android ambayo naweza weka live link kwenye backend na nikaonesha tukio fulani likawa live, so upande wa radio nawezaje kuconnect radio na app ili mtu aweze kustream live?