Msaada kwenye laptop "Parser Message" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye laptop "Parser Message"

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mzawa Halisi, Nov 16, 2009.

 1. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wakuu,

  naomba msaada wa kunisaidia kutatua tatizo langu kwenye laptop. Laptop yangu ni Toshiba Satellite, Pent4, Proc 2.3GHz, RAM 512, 120GB HDD. wakati wowote ninapowasha napata message Value creation failed at line 422. Nimempelekea fundi aka install upya Windows XP professional, lakini ikafanya kazi muda mfupi, hiyo message ikarudi tena. Kama kuna member ana weza kunisaidia nitashukuru sana.
   
 2. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hii inawezakana ikawa ni Trojan/virusi kwenye hadi drive yako. Jaribu kufanya hivi;

  Use the Windows Setup floppy disks or the Windows CD-ROM to start your computer. At the "Welcome to Setup" screen, press F10 or press 'R" to repair.

  At C:windows (or winnt)
  type cd system32 the directory should now be
  C:windowssystem32
  type :
  copy userinit.exe wsaupdater.exe
  1 file should be copied, now REBOOT!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  MKUU HEBREW Haiwezekani kuwepo kwa hiyo Trojan/Virus ikiwa kama alifuta Windows XP na akaiweka upya Jaribu hivi kwanza try:
  ... tapping "F8" key @ boot-up select "safe mode with command prompt" ....then type:
  SFC /scannow [press ENTER]
   
 4. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Inawezekana kama baada ya kuinstall winXP na programs zingine akafanya updates. Hii nilishawahi kuiona baada ya watu kufanya updates za MS na products zingine kama Norton!!
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Hebrew bado unatumia Program za Norton Anti-Virus?
   
 6. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hapana mkuu..mimi ni mtu wa Linux na Macs nilikuwa natumia AVG nilipokuwa na PC ya WinXP.
  Amini usiamini ..kuna watu wengi hadi leo wanauziwa PC au Laptop mpya na Norton Anti-Virus & internet security
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280

  Haya nimekuelwa vizuri nipe basi Faida ya Linux na Macs mimi ninazo zote lakini hiyo Ubuntu Linux naitumia pamoja kwenye Windows XP ingawa inayo Hard Disk Driver yake nimeiweka peke yake na hiyo Mac OS ninayo sanduku lake pembeni ila ina tabia ya kujizima kila nikifunguwa inajizima baada ya saa moja inajizima hebu nipe faida zake hizo mbili yaani Ubuntu Linux na Mac Os ? mimi bado mgeni nazo hizo mbili Os na nikijaribu Ubuntu Linus inakwenda Slow Connections yake natumia kwenye Ubuntu Linus MozillaFireFox kama Web Browser yangu asante nakusubiri unipe vitu haya kazi kwako Mkuu Hebrew
   
 8. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Duh me nkikuta mtu anatumia Norton Anti-virus & internet security natamani kulia kwa hasila. ina slow down pc ile mbaya its better na AVG au McAfee nawaonea wivu mnaotumia Mac OS na Linux mie ndio nategemea ku install windows 7 this weekend nione how fast it is

  maana vista microsoft pale walichemka mbaya

   
 9. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu Hebrew, Hiki ndiyo hasa kilichotokea. Nina uelewa mdogo sana kwenye IT, naomba msaada wako nifanyeje isitokee tena.

  Kwa wengine wote nashukuru kwa mchango yenu ya mawazo, kutokana na uelewa mdogo kwenye hii fani, bahati mbaya mtu aliyeahidi kutengeneza alichofanya ni ku format na nimepoteza data zote zilizokuwepo.
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu jethro kwa wale bado wanaotumia Norton Anti-virus & internet security Kampuni ya Microsoft.com na wanaotumia Avg Au Mc lazima uwaonee huruma kutokana na hawajuwi kile wanachofanya kwa sababu hizo ni Anti-Virus nzito sana zinafanya Computer kuenda taratibu kama Lori lilobeba Magogo nalo lipo juu ya Mlima wa wahehe iringa unaweza kulikamata hata ukishindana nalo kwa mbio utalishinda kwa hiyo wale wanaotumia hizo Anti-Virus 3 wapo Usingizi itabidi uwaamshe sana ingawa alalae usimuamshe. wewe jaribu kuitumia hii Anti-Virus ninayokuambia sasa nayo ni hii hapa chini


  Search:  Language:
  English Deutsch Fran├žais Italiano


  HOME
  PRODUCTS
  DOWNLOAD
  SUPPORT
  COMMUNITY
  SHOP

  [​IMG]
  "Avira AntiVir should remain on top of every free antivirus users' list."
  CNET Download.com 03/17/2009
  [​IMG]


  Comments
  [​IMG] The Best Security Program... Thnx Avira......  Did you upgrade?
  [​IMG]


  Need Help?
  [​IMG]  Question of the month Parental Control Software

  [​IMG]

  News
  Free version: Avira optimizes update system Tue, 17 November 2009
  Painstaking updates will soon be a thing of the past with the free anti-virus solution
  Read more
  Shoppers paying by bank card are still insufficiently security-conscious Tue, 03 November 2009
  Avira issues a warning against cybercrime as people do their Christmas shopping online
  Read more
   
 11. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135


  Mzawa Halisi samahani sana Hivi mmenichanganya sana Ant virus ya Ukweli ya Faster ni ipi maana mimi Ninatumia Karsperki 2009 je ipo poa. naomba jibu maana nimenunua juzi tu nika install katika LG HDD 110GB na ram 1GB
   
 12. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Kaspersky iko poa. Huna haja ya kubadilisha.
   
 13. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Alifanya Installation upya kweli au alifanya Windows Repair?
  Muda mfupi ukimaanisha nini? Siku mbili?
   
 14. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa maelezo yake alifanya installation upya, mimi nilichofanya ni kumuachia na baadaye kuipitia aliposema tayari.

  Ilifanya kazi siku moja haikufika.
   
Loading...