Heshima kwenu,
natumia window 7 ila tatizo inagoma ku konect wireless nimejaribu ku trouble shoot problem inanijibu wireless capability is turned off.
naomba msaada plz..
fungua windows mobility center utaona kama wireless ipo on au off pia unaweza kuiwasha kama imezimwa. kufungua windows mobility center bonyeza + X halafu angalia kama ipo off uiwashe angalia mfano hapo kwenye laptop yangu inavyoonekana
windows mobility center kama ukishindwa jaribu kuhakikisha kwamba wireless device inafanya kazi na ina latest drivers