Msaada kwenye Kona

Posted on 31 August, 2010

Source: https://www.jamiiforums.com/tanzania-2010-2015/71656-msaada-kwenye-kona.html#post1057250

10688362_924141704303301_5839247027206504930_o.jpg


Hukusoma au ulisoma hukuelewa, hata alama kwenye picha huelewi?! Mnasubiri nini zaidi?

6.jpg

B_40psaUMAAJwi5.jpg:large

B_0C1X7WcAAtP0c.jpg:large


Angalizo:
Kwa yeyote mwenye ukumbusho wa picha ya Zitto akiwa amenyoosha vidole viwili (Alama inayotumiwa na CHADEMA) aihifadhi vizuri kwa ukumbusho wa vizazi vijavyo. Mtandaoni cached nyingi zimekwishafutwa!
 
Sio tu imenishangaza bali pia imenipa mashaka na afya ya ubongo wako.
Mkulu Ndibalema,
Mzima Mkuu wangu, za takribani maika minne na ushee? .....Nakusalimia tu na kutaka kujua kama bado una mashaka na afya ya ubongo wangu!
 
Last edited by a moderator:
aisee!ndo mana mi nilihuzinika sana serikali kuwafutia leseni wapiga ramli.ona sasa.
 
Mkuu yaliyopita si ndwele. kwa kweli sina shaka hata chembe. na naomba radhi kwa kauli ile naomba kufuta kauli.
Mkuu nimebarikiwa na uungwana na ustaarabu wa hali ya juu ulionyesha katika kuhitimisha mjadala wetu. Asante sana
 
Duh huu utabili si mchezo hata hayati shekhe yahya hakufikia hyo levo
 
Back
Top Bottom