Msaada kwenye Kona

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Najua itawashangaza wengi, lakini ni kweli nahitaji majibu ya ufasaha yaliyotokana na tafakari ya kina juu ya swali hili:

  • Zitto Zuberi Kabwe ni mgombea wa ubunge kupitia chama gani?
 
Huyu siyo mgombea Ubunge hapa kwetu Tanzania, huyu ni Raisi wa nchi fulani iko huko America ya Kusini, nadhani hata wewe uko huko, mtafute utampata. Huku hayupo alishaondoka miaka mingi sana!
 
Sio tu imenishangaza bali pia imenipa mashaka na afya ya ubongo wako.
 
Makanyaga, ahsante kwa jibu; umepatia!
 
Sio tu imenishangaza bali pia imenipa mashaka na afya ya ubongo wako.

Ahsante sana.
Hata Mengi alipokwenda kuomba mkopo aanzishe kiwanda cha maji ya Kilimanjaro Benki za Kitanzania zilimwona mwendawazimu.
 
Sio tu imenishangaza bali pia imenipa mashaka na afya ya ubongo wako.

Ndiba,

Nataka niweke rehani kujaribu udhaifu wa ubongo wangu kwa kubashiri lifuatalo:

  • Zitto Zuberi Kabwe, kabla na baada ya uchaguzi, akiwa ameshinda au ameshindwa SI MWANACHAMA WA CHADEMA
 
Siku si nyingi, nitajua Kama katika kipimo cha rehani niliyoweka; NINA AKILI AU MAONO!
 
Kwa maoni yangu na uchambuzi wa hali ya chini( simple analysis) hana chama ila ni opportunist maana yake yeyeto ambaye yuko kenye power na anafikiri anaweza kumu accommodate anaweza kuwa al-line wake
 
Zitto, zitto. Watanzania wote kwa ujumla wao wameanza kuona langi langi za zito, wanamkumbuka toka pale kwa kafulila, wanamkumbuka pale alipowaacha watz akaenda zake German kusoma wanamkumbuka sana kudai uwenyekiti, wanamkumbuka sana kudai kuwa kiongozi wa kambi wa upinzani, nadhani anadhani ana nguvu sana Chadema, ila ajue kwa sasa yeye ni tone ndani ya Chadema. Natabiri siku moja ataleta mtafaruku mkubwa sana ndani ya chama, nadhani hapo ndipo anguko lake litakapo timu. Tunaona kama ana kivuli cha C.cm, . Tusisahau ni yeye aliye sababisha kafulila akawa Nccr, ni yeye aliyefanya Nccr kupata wale wabunge wanne tunajua. Nadhani wacha muda uwamue, yeye anadhani watz wapenda mageuzi hatujui, iko siku kivuli kile kitahoji.
 
Mmmmh pole mpendwa nahisi the way unavyofeel kumoyo. Mwenye nimekuwa na mashaka na huyo kijana siku nyingi.
 
kwani sasa hivi si inafaamika?

Ndugu yangu MS,
Bado haijafahamika.
Nimeumia sana kuona Kafulila kafukuzwa NCCR. Nilitamani sana kuona anafanikiwa katika mission yake ili "vitendawili" viteguke. Lakini naamini ya Kafulila ni kuvunjika kwa koleo!
 
Back
Top Bottom