Msaada kwenye iphone

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Nashindwa download app yoyote toka apple store naambiwa not available in tz store, hats nibadili location niweke USA naambulia not available in USA store.
Any one knowing the solution
 
Hata mimi siopati JF application
 
Google chrome, jf, Facebook yani nyingi na zote holla

Hizo zote ni FREE APPLICATIONS... Una DEBIT or CREDIT card? if YEAH ukienda kwenye APPLE STORE kama ni mara yako ya kwanza itahitaji either DEBIT or CREDIT card yako weka INFO lakini hauta chajiwa chochote as long as uta-download FREE APPS... JF ni FREE; FACEBOOK ni FREE GOOGLE CROME ni FREE both no CHARGES
 
Ukienda kwa Apple Store -- nenda kwa search yake type JamiiForums all together... ONE WORD utaipata

Haipo mkuu imepotea! Naimani invisible atatusaidia
 
Haipo mkuu imepotea! Naimani invisible atatusaidia
Kama sio jail broken(factory unlocked) basi unaweza kureset all settings ndipo ujaribu....dont do it if it is jailbrocken for unlocking!
 
Uh to search for JamiiForums in APPLE STORE you will need INVISIBLE as well ? kweli tutafika???

Hujanielewa! Jf haipatikani app store so labda haipo anymore? Au imefutwa? Au inatumia jina lingine or watever, ndio maana nikasema invisible atatusaidia kutujulisha!
 
Fungua account ya uk ambayo haiitaji any card and i hope you will be able to download those free applications.
 
Hujanielewa! Jf haipatikani app store so labda haipo anymore? Au imefutwa? Au inatumia jina lingine or watever, ndio maana nikasema invisible atatusaidia kutujulisha!

You R Definately Right Jamii Forums haipo kwenye APPLE STORE any-longer Yeah kweli ni BORA kucheck na INVISIBLE

MY DEEPEST APPOLOGIES!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…