Sir Carter
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 631
- 1,418
Kama warranty card bado iko valid ipeleke Hisense au rudisha kwenye duka ulilonunulia wenyewe wanajua wanachotakiwa kufanya.kuna fundi unaweza nisaidia kunitengenezea au na ww mwenyewe ni fund?
Mimi kwa mara ya kwanza 2005 niliona products zao South Africa na kutembelea kiwanda chao. Hisense wana viwanda China,South Africa na Ulaya ya Mashariki. Products zao nyingi zinazouzwa hapa Tanzania zinatoka China.Zinazouzwa South Africa 100% zinazalishwa hapo hapo South Africa kutokana na Sheria za South za biashara (South Africa karibia bidhaa zote zinazalishwa locally )Unajua product imetengenezwa wapi.
Sema hizo star x na tcl ni tv za bei ndogo ndo maana wanazikimbilia.Yaani unaacha TCL and star x unanua Hisense kwanza vioo vyeupe kama tecnk spark 3 na haya masamsung series za A hazina rangi nzuri
TCL,star x ,evvoll naona best nenda sehemu za betting angalia tvs zao zinapiga kazi mpaka saa sita usiku kuanzia asubuhi soma model za pale utakuta star x na TCL sana Saba izo ni tv za kazi bwana
Hazina mzuka lilinifia hilo sina hamu nalo Kila mtu anayo wachina sio kuamini labda zile model za miaka 2016 kurudi nyuma ila hizi mpya sitaki kabisaSema tv za bei ndogo ndo maana wanazikimbilia.
Ndugu mtoa ushauri hiyo avatar yako sasa 🥲Tafuta fundi mwenyewe… humu unaweza pigwa kekundu na keusi sababu ushakuwa na shida.
Na kama warranty bado ni valid wapelekee hisense wenyewe.
Umenena ukweli halisi kabisa, hakuna ninapowaamini Samsung Company kama kwenye TV na Friji, ila kwenye miziki, smart phones mmmh.....[emoji33]Mimi naamini Samsung ukipata nzuri ni kampuni ya kuaminika sana. Mimi nina Tv ya LED ya Samsung ya tangu 2013 na mpaka leo inapiga mzigo.
Kutokana na fluctuations za umeme, TV yangu lazima iwe connected kupitia stabilizer.
mzigo wa South kwa sasa unaingia kwa speed ya 5G,wa china umekuwa hadimu sana.Mimi kwa mara ya kwanza 2005 niliona products zao South Africa na kutembelea kiwanda chao. Hisense wana viwanda China,South Africa na Ulaya ya Mashariki. Products zao nyingi zinazouzwa hapa Tanzania zinatoka China.Zinazouzwa South Africa 100% zinazalishwa hapo hapo South Africa kutokana na Sheria za South za biashara (South Africa karibia bidhaa zote zinazalishwa locally )