BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,215
- 39,040
Wakuu mambo vipi,
Nina external aina ya transcend 1TB shida yangu nahitaji kupata usb ndefu atlist 1.5m manake kuchomeka kwenye tv nyuma ni risk inaweza anguka ikaleta shida zingine kama mnavojua flat tv zilivyo upande wa nyuma
Je, wapi nitapata usb ndefu ya atlist 1.5m ikasoma vizuri data za external??. Kuna usb cable nilinunua haikusoma.
Kwenu wana tech.