Msaada kwenye Cable TV

Msaada kwenye Cable TV

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Habari za muda huu waungwana?
Ninataka kufunga cable televisheni, ila naomba kwa wenye uzoefu je
naweza kuingiza katika projekta moja kwa moja na kuitumia bila kuunganisha kwenye television?
Nawasilisha na
Ahsanteni.
 
Ndio unaweza, Nunua TV box'kisha unakonect hiyo TV box na projector
 
Tumia HDMI cable... ila kama projector na decorder zina option hiyo
 
Habari za muda huu waungwana?
Ninataka kufunga cable televisheni, ila naomba kwa wenye uzoefu je
naweza kuingiza katika projekta moja kwa moja na kuitumia bila kuunganisha kwenye television?
Nawasilisha na
Ahsanteni.
Zipo Dar Bei elfu 50. kama unajamaa ako Dar ni PM namba yake ntampatia
 
Tumia HDMI cable... ila kama projector na decorder zina option hiyo
Mkuu Katavi kuna Cable services (waya wa RF-ule wa TV anntena umepita mitaani ukiwa na TV stations zaidi ya 10 hivi, so ukiwa na TV unaconect na RF cable ili uweze ona hizo stations.Projector azina RF port.So kuiconect unahitaji AV cable na sio RF.Hii TV box ina convert RF signals to Audio Video signals.
Hivi ndo ninavyofahamu
 
Ni kweli watumia AV cables ndio maana napata endapo nitataka kutumia projector.
All in all unipa ufafanuzi mzuri hapo kwenye signal conversion, thanx
 
Kama hiyo cable yako ina king'amuzi then disconnect from your TV then connect the same av cable Y to projector R and B to your audio system. Waweza kununua av cable ndefu kama projector iko bar na king'amuzi chumbani kwako
 
Back
Top Bottom