halooooo.
Hope mko ok wote. Jamani mwenzangu amenipiga stop ya kunido eti anasema kwa 7bu ya kwaresma, kila ninapomuhitaji hataki kabisaaa, hvi inawezekana kweli hyo ikawa 7bu au analake jambo

Mhh kwan mpo kwenye ndo au bado? Kama kweny ndoa sio haki ila kama hampo kwenye ndoa anafanya haki kwan ni dhambi. Hata kipind cha Ramadhan weng pia huwa wanastop au kurecharge