Msaada kwenye BB BOLD 9700

Msaada kwenye BB BOLD 9700

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Habari wakuu!
Kuanzia leo mchana nikijaribu kucharge inasema USB hub connectde not charging! Check usb port etc
note: nimejaribu kubadilisha various usb ports na sources,ata charger zakawaida still inasema hivyo!
Hili tatizo laki software au hardware?
 
Back
Top Bottom