msaada wa os kwenye lenovo

msaada wa os kwenye lenovo

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
13,370
Reaction score
30,010
wakuu msaada nmepandishia linux kwenye window 7 sa hvi window 7 haisom kwenye pc na nkajarbu ku install upya window 7 inaleta blue screen inagoma kuinstall!!
 
wakuu msaada nmepandishia linux kwenye window 7 sa hvi window 7 haisom kwenye pc na nkajarbu ku install upya window 7 inaleta blue screen inagoma kuinstall!!

Pole sana,I hope ulikuwa unajua unachokifanya,not all the time it is true that if you can read you can do anything.Ngoja watalam wa IT waje watakusaidia mimi napita tu.
 
Nenda kweny bios hakikisha settings za sata ziko sawa .
Ikibid jaribu kabadili uone ipi ndo imafaa .
 
Partition types zinazotumika na hizo OS ni tofauti kabisa. Unless you partition your disk, you cannot achieve what you want to achieve
 
nlifanyia partition disk d na ndiko nlikoweka hyo os
 
Back
Top Bottom