Msaada kwene tuta namna ya ku-upload picha huku jf,

Msaada kwene tuta namna ya ku-upload picha huku jf,

wambeke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
2,655
Reaction score
2,650
Salaam.
naomba msada wa ku-upload picha huku jf na kila picha iwe na maelezo yake. msaada tafadhari
 
Kwenye picha kuna alama ya mshale unaelekea chini . Huo utachi utakuambia unataka OG size au zingine utachagua.
Ukiwa tayari useme, kama bado uulize, Mwaka huu usiishe ili usirudi tena 2022
 
Back
Top Bottom