Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Naimbeni sababu za kibaolojia zinazomfanya mbuzi awe na korodani kubwa kuliko binadamu ihali binadamu ana umbile kubwa kuliko mbuzi.
Naimbeni sababu za kibaolojia zinazomfanya mbuzi awe na korodani kubwa kuliko binadamu ihali binadamu ana umbile kubwa kuliko mbuzi.
Na pia ana NDEVU ambazo hata Ng'ombe hana.....na ile harufu yake ya UBEBERU ni kali kuliko ya kwapa la binadamuNaimbeni sababu za kibaolojia zinazomfanya mbuzi awe na korodani kubwa kuliko binadamu ihali binadamu ana umbile kubwa kuliko mbuzi.
Kwa sababu ana.hifadhi mbengu nyingi na nzito kuliko binadamuNaimbeni sababu za kibaolojia zinazomfanya mbuzi awe na korodani kubwa kuliko binadamu ihali binadamu ana umbile kubwa kuliko mbuzi.
we sema kama unahamu ya mkorodani kama nazi!Naimbeni sababu za kibaolojia zinazomfanya mbuzi awe na korodani kubwa kuliko binadamu ihali binadamu ana umbile kubwa kuliko mbuzi.
Kwasababu wewe unamla mbuzi na yeye anakula majani. Angalia pmb za simba au mbwa! Hawali majani; kwhy p zao sio kubwa kama za beberu!Naimbeni sababu za kibaolojia zinazomfanya mbuzi awe na korodani kubwa kuliko binadamu ihali binadamu ana umbile kubwa kuliko mbuzi.
dahhhhh watu mmevurugwaaaa! Nimecheka sanaNa pia ana NDEVU ambazo hata Ng'ombe hana.....na ile harufu yake ya UBEBERU ni kali kuliko ya kwapa la binadamu
mwacheni mbuzi aitwe mbuzi
Duh.kuzila shahawa au?Mbuzi dume anaingiliana kimwili mara chache sana kuliko binadamu, hivyo shahawa zake zinajaa muda mwingi.
Ila tamu sana ukizichoma na kuzula zikiwa za moto
Eroooo kwan wwe ni laiyonMbuzi dume anaingiliana kimwili mara chache sana kuliko binadamu, hivyo shahawa zake zinajaa muda mwingi.
Ila tamu sana ukizichoma na kuzula zikiwa za moto