Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 852
- 1,005
Mbuzi anagonga mbupu majike wengi Kwa siku Ndo mana mimbupu yake mikubwa
Hadi uume wa mbuzi unaliwa.Sijui kwingineko lakini kule kwetu Usukumani hizo makitu zinaliwa!
Na hata mimi nimeshawahi kuzila pindi nikiwa mdogo.
Sasa hivi siwezi kabisa kuzila.
Ila nakumbuka zilikuwa tamu tamu hivi.
Kwa sababu defence mechanism yake ni mateke, na ili kuwa na mateke makali inabid uwe na strong leg musclesKwa nini Punda milia ana hips bomba kuliko binadamu?
Na kwa nn simba ana sauti nzito kuliko ya tembo?Naimbeni sababu za kibaolojia zinazomfanya mbuzi awe na korodani kubwa kuliko binadamu ihali binadamu ana umbile kubwa kuliko mbuzi.
Ngombe haoni vizuri so hutegemea masikio kisana, ni sawasawa na nzi anategemea macho sana ndo mana macho makubwaKuna maswali mengine hayanaga majibu, ni sawa na kuuliza kwanini ng'ombe ana masikio makubwa kuliko binadamu,
Hapo no scientific reasons bora uulize kwanini pundamilia wanazaana wakiwa na mistari tu? View attachment 750735
Acha uongo wewe, kama ni kubwa ni matatizo yenu sio kawaida, unaweza kuwa mgonjwa na hujijuiMmnh, labda kwa watu wa huko kwenu... Sisi huku kwetu Pangani wanaume wote wana korodani /hasua/kende/pumbu kubwa kuliko za huyo beberu. Natamani kuweka picha ya korodani zangu hapa ili kuthibitisha. Ila naogopa hiyo sheria ya sijui APOCA!!
Sababu ipo, ila wazembe wa kufikiri hamuioniKwa nini binadamu hatembei kwa miguu minne kama mbuzi?
Kutokana na utumbo wao ulivyoumbika, large intestine, ko ni lazima zitoke hvyosiku utasema kwanini mbuzi haja zake sio laini
Majibu ya kizembe hayaKwa sababu mungu ndio kamuumba ivyo, alafu kingine zile pumbu zake tamu sana aswa za kuchoma
Simba anaishi kitemi na ni mtemi tangu utemi ulipomuanza, jamii ya paka wakubwa wengi wana membrane kwenye trachea yao, ko huwapa taarifa simba wengine kuwa wapo eneo hilo na lishamilikiwa, tembo hana hyo, tembo ni kama omnivores wengine wanaoishi kwa kutembea na kutafta maji kila pande ya mbuga, japo anasauti kubwa ya kumtisha adui yake ila sio kama ya simba, sa katika paka simba utemi wake kaupereka katika next level so saut yake pia ni kubwa sana, almost 8km of radius, na pia simba walideverope manywele shingoni kutokana na kupigana kila kukicha kwa madume, so ukiwa na nywele shingone survival na kushinda ni kukubwa kuriko usipokuwa nazoNa kwa nn simba ana sauti nzito kuliko ya tembo?